Genesis 45:9-10

9Sasa rudini haraka kwa baba yangu na mwambieni, ‘Hili ndilo mwanao Yusufu asemalo: Mungu amenifanya mimi kuwa bwana wa Misri yote. Shuka uje kwangu, wala usikawie. 10Nawe utaishi katika nchi ya Gosheni na kuwa karibu nami, wewe, watoto wako na wajukuu wako, makundi yako ya kondoo, mbuzi na ng’ombe, pamoja na vyote ulivyo navyo.
Copyright information for SwhKC